Shule ya msingi air wing ukonga na minazi mirefu ukonga hamna haki kwa wanafunzi

Shule ya msingi air wing ukonga na minazi mirefu ukonga hamna haki kwa wanafunzi

Future president

Senior Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
144
Reaction score
39
Juzi nimeshuhudia unyama ndani ya shule ya msingi MINAZI MIREFU-UKONGA mwanafunzi akiburuzwa na wanafunzi wenzake kwa kuvutwa na kupelekwa darasa la C ni darasa la watu wasio jiweza kabisa kiakiri na kipesa,baada ya kukosa kutoa hela ya speed test ndipo mwalimu alipo amuru wanafunzi wenzake kumzomea na kumburuza darasa C,na katika upelelezi wangu nikagundua ni mchezo wa mara kwa mara kwa shule hizi jirani,michango ni mingi sana,na usipochanga nikipigo mtindo mmoja,kuna michango ya kuaga walimu wanaostafu 400/= usipotoa ni kipigo,is not fair
 
Back
Top Bottom