Shule ya msingi inalea madereva walevi

Shule ya msingi inalea madereva walevi

Mawematatu

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
468
Reaction score
608
Dereva wa Shule ya msingi jijini dsm amewasababishia majereha watoto baada ya kusababisha ajali. Inasadikiwa mwanaume hUyo alikuwa amelewa
 
Toa taarifa kama mtu aliekamilika au nawe umekunywa..?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eti hii nayo taarifa, inasadikiwa....
Ilithibitishwa na nani?
Shule ya msingi ipi?
Hatarii sana
 
Dereva wa Shule ya msingi jijini dsm amewasababishia majereha watoto baada ya kusababisha ajali. Inasadikiwa mwanaume hUyo alikuwa amelewa
Wakati mwingine huwa namuelewa Sana prof. Assad pale aliposema watanzania walio wengi uelewa wao uko chini.

Wewe badala ya kutoa taarifa unaanza kulalama utadhani Wana jf wote walikuwepo kwa Hilo tukio.

Watanzania wengi wahawezi na hawajui kujieleza na mtoa hoja Ni miongoni mwao,pole sana
 
Dereva wa Shule ya msingi jijini dsm amewasababishia majereha watoto baada ya kusababisha ajali. Inasadikiwa mwanaume hUyo alikuwa amelewa
Nawe umesikia kutoka kwa mtu anayetaka ajira ya udereva kwenye shule hiyo.
 
Back
Top Bottom