1:-Imehitimisha mara 4 mpaka sasa
2:-Ina vyumba v4 vya madarasa.
3:-Wanafunzi wapo 498 ila ina madawati 63 tu.
4:-Ina ofisi 1 tu.
5:-Haina hata tundu 1 la choo ya kudumu
6:-Eneo la shule ni ekari 3(Majengo yakiwemo)
MPAKA HAPO TUNATEGEMEA KUPATA NN? Ahsant
Mkuu Jerhy,ningekuwekea ushahidi wa picha ili uamini niyasemayo,imeshindikana kufanya hivyo kutokana uwezo mdg wa cm yangu,by the way mm ndo mwalimu wa shule hiyo mkuu,naamini utakuwa umelizika kwa hapo ili ujadili hoja yangu.