Shule ya msingi Mfunzi yasalia na mwalimu mmoja

huko ndiyi UD ya wachawi.. unaweza ukaenda ukawa unanyeshewa mvua wewe tu au unapika chakula hakiivi..

Ile hadithi tu ilinitisha na nkawa nnadhani Gamboshi ni moja ya eneo la kuzimu, kumbe ni hapa hapa Tz.

Huko ni balaaa.
 
Mwalimu mkuu naye ni mgeni ndo aliyehamia,ametokea shule ya nyehunge hukohuko sengerema kwa taarifa yako huyo jamaa ni mzaliwa wa huko kome nfunzi kwa akina paul james sweya wa clouds fm,aliposikia shule inakimbiwa na waalimu,yeye akaomba kurudi kwao tokea nyehunge ili kuokoa jahazi,matokeo yake anabaki peke yake.................mwanza sibukagi bhayanda..........................yesu ntale ghete........
 
uchawi ungetumika kujenga flyovers,lami,bwawa la kufua umeme,
Tanzania bana inatia HASIRA
 
kwani wako tayari kuchanjwa chale za ma------..
Ahahaaaaaaaaa, mkuu kuna uchawi Hata ukiwa nazo za huko, wenzio wanakuzidi tu. Mfano: Sumbawanga maana yake Tupa uchawi wako (Kwa tafsiri) isiyo rasmi. Hivyo kama una chale zako, wenyewe wakiamua huna la kuwazuia.
 
Nfunzi napajua! matukio kama haya ni kawaida kutokea! kama wewe ni mtembezi wa usku kwenye kijiji hiki kupotezwa njia na kujikuta ufukweni mwa ziwa ni kawaida..wanakijiji wa Nfunzi waache u-primitive watoto wapate elimu kwa future yao!
 
Hao ccm wamechochea nini sasa hapo?!? au sijaelewa=-O
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…