Shule ya Msingi Nachingwea ina hali mbaya, yawaomba Wadau kuiokoa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Walimu na Wanafunzi wa shule ya msingi Nachingwea wameomba serikali na wadau waliowahi kusoma hapo kusaidia kuboresha majengo ya shule hiyo yaliyo na hali mbaya.

Shule hiyo ina Wanafunzi 549 lakini inatumia vyumba vitatu tu vyenye ahueni (hatukuambiwa hali ya vyoo)

Chanzo: Azam TV




Swali: Zile hela za COVID-19 tulizoambiwa ziliboresha madarasa kwenye mashule huku hazikufika?
 
Kwahiyo ukuona shule zilizo boreshwa mbona jukumu ilo lilitekelezwa na pia bado kuna mikakat Inaendelea
 
Hivi ule utaratibu wa Wanafunzi waliosoma miaka ya nyuma kwenye shule husika kusaidia shule yao umeishia Mzumbe peke yake.

Nadhani kuna haja wanufaika wakasaidia walipotoka
 
Hivi ule utaratibu wa Wanafunzi waliosoma miaka ya nyuma kwenye shule husika kusaidia shule yao umeishia Mzumbe peke yake.

Nadhani kuna haja wanufaika wakasaidia walipotoka
Hakika
 
[emoji117]MKUU WA WILAYA YUPO
[emoji117]MBUNGE YUPO
[emoji117]MKURUGENZI YUPO [emoji117]MKUU WA MKOA YUPO kama hao wote Wapo ina maana WAMESHINDWA KAZI kuna sababu gani ya kuendelea kuwa KAZINI?
 
Zilibolesha matumbo yao.
 
[emoji117]MKUU WA WILAYA YUPO
[emoji117]MBUNGE YUPO
[emoji117]MKURUGENZI YUPO [emoji117]MKUU WA MKOA YUPO kama hao wote Wapo ina maana WAMESHINDWA KAZI kuna sababu gani ya kuendelea kuwa KAZINI?
Wote uliowataja kazi yao kuu ni kuhakikisha kila kituo cha kupigia kura kunafichwa masanduku yenye kura feki ili kuokoa ccm

Hili la shule haliwahusu
 


Inauma san, wako huku wanagawa Bandari
 
Vipaumbele vyetu vinachekesha. Hapo ukute TAMISEMI wametenga bilioni moja ya ma land cruiser ya viongozi.

Afrika ni masikini kwakuwa viongozi wetu na wengi wa wanachi wetu hawama akili. Dhihaka za wakoloni dhidi ya baadhi ya babu zenu zilikuwa za kweli kabisa, wana akili kama za nyani.

Baba anayenunua Iphone 14 promax wakati watoto hawana chakula ni MPUMBAVU. Serikali yetu inatatizo la upumbavu uliokubuhu, na hii ni tokea awamu ya pili kuja juu. Zote ujinga mtupu.

Mkapa na Magufuli angalau walikuwa wanajielewa, japo walizungukwa na manyani yaleyale.
 
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…