Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Walimu na Wanafunzi wa shule ya msingi Nachingwea wameomba serikali na wadau waliowahi kusoma hapo kusaidia kuboresha majengo ya shule hiyo yaliyo na hali mbaya.
Shule hiyo ina Wanafunzi 549 lakini inatumia vyumba vitatu tu vyenye ahueni (hatukuambiwa hali ya vyoo)
Chanzo: Azam TV
Swali: Zile hela za COVID-19 tulizoambiwa ziliboresha madarasa kwenye mashule huku hazikufika?