Shule ya msingi vingunguti imegeuzwa mradi walimu kuganga njaa!

Userne

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2011
Posts
892
Reaction score
124
Sio majungu anaetaka atembelee ajionee kwa macho yake!
Nilicho kiona;
1 Mwalimu mkuu hana uwezo wa kuwatiisha walimu!

2 mwanafunzi kila siku hadi j/ mosi lazima aende na mia4 mia2 tuition mia2 masomo ya kawaida!

3 alhamisi Tsh 1200 Za mitihani ambayo walimu hawasahihishi!

4 Kibaya mwanafunzi asipo
peleka hiyo pesa ni mkong'oto, walimu wanakaa foleni wakiwa na bakora wanafunzi wakipita kwa kila mwalimu kuchukua kichapo,
mwalimu mkuu akisimamia zoezi la kuwatia adabu
wanafunzi kwa kutoleta pesa!

my take;
walimu wangekuwa wakali hivyo kudai haki zao serkalini wangefanikisha!
 
Kwani serkali ya mtaa imekufa? kama ni ndivyo serkali kuu iingilie hili tatizo kuliko kuendelea kutesa wanafunzi!
 
Kinachoongelewa ni kweli!
Hii shule ya Miembeni Vingunguti chini ya mwalimu mkuu mama yahaya inakera! na sijui diwani Asaa Simba yuko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…