Sio majungu anaetaka atembelee ajionee kwa macho yake!
Nilicho kiona;
1 Mwalimu mkuu hana uwezo wa kuwatiisha walimu!
2 mwanafunzi kila siku hadi j/ mosi lazima aende na mia4 mia2 tuition mia2 masomo ya kawaida!
3 alhamisi Tsh 1200 Za mitihani ambayo walimu hawasahihishi!
4 Kibaya mwanafunzi asipo
peleka hiyo pesa ni mkong'oto, walimu wanakaa foleni wakiwa na bakora wanafunzi wakipita kwa kila mwalimu kuchukua kichapo,
mwalimu mkuu akisimamia zoezi la kuwatia adabu
wanafunzi kwa kutoleta pesa!
my take;
walimu wangekuwa wakali hivyo kudai haki zao serkalini wangefanikisha!