Shule ya msingi ya private Inatafuta mwalimu mkuu mwenye uzoefu wa miaka 3

Shule ya msingi ya private Inatafuta mwalimu mkuu mwenye uzoefu wa miaka 3

KIBALUHUNJA25

Member
Joined
Aug 22, 2025
Posts
5
Reaction score
1
Habari za wikiendi?
Eid Mubarak
Shule ya msingi ya private iliyopo Pongwe,Tanga jiji.

1. Inatafuta mwalimu mkuu mwenye uzoefu wa kazi si chini ya miaka 3

2. Mwalimu wa darasa la kwanza na la pili

Awe na uzoefu wa miaka miaka 2 na zaidi.

Awe na tabia njema na uwezo mkubwa wa kufundisha.

Mawasiliano
[email protected]
Au PM

Asanteni.
 
Back
Top Bottom