K KIBALUHUNJA25 Member Joined Aug 22, 2025 Posts 5 Reaction score 1 Mar 21, 2026 #1 Habari za wikiendi? Eid Mubarak Shule ya msingi ya private iliyopo Pongwe,Tanga jiji. 1. Inatafuta mwalimu mkuu mwenye uzoefu wa kazi si chini ya miaka 3 2. Mwalimu wa darasa la kwanza na la pili Awe na uzoefu wa miaka miaka 2 na zaidi. Awe na tabia njema na uwezo mkubwa wa kufundisha. Mawasiliano infotanzaniaa@gmail.com Au PM Asanteni.
Habari za wikiendi? Eid Mubarak Shule ya msingi ya private iliyopo Pongwe,Tanga jiji. 1. Inatafuta mwalimu mkuu mwenye uzoefu wa kazi si chini ya miaka 3 2. Mwalimu wa darasa la kwanza na la pili Awe na uzoefu wa miaka miaka 2 na zaidi. Awe na tabia njema na uwezo mkubwa wa kufundisha. Mawasiliano infotanzaniaa@gmail.com Au PM Asanteni.
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Mar 21, 2026 #2 Sawaa
Jerry001 JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 1,685 Reaction score 4,003 Mar 21, 2026 #3 Mpwayungu Village
Ubaya Ubwela JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 3,014 Reaction score 7,343 Mar 21, 2026 #4 Wanalipa mishahara kwa wakati? Siyo unafanya kazi siku 45 ndo unalipwa badalaya siku 30