Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wezi wa Tengeru ni zamani, kipi hicho hakuna kituo cha polisi ukuta wa Patandi na kahawa upande wa Serena kuelekea ustawi wa jamii jumlisha uwepo wa pori la DulutiIko Arusha, ni barabarani kabisa, utashukia Tengeru.
Kwahiyo kama unatokea Dar, waambie machalii wakushushe tengeru, ila ukishuka kuwa makini vibaka ni wengi sana, simu yako ifunge mkononi ili wakitaka kuiba wakate na mkono.
Wale naona wanaibia sana walioko kwenye daladala na wakaacha vioo waziwezi wa tengeru ni zamani
Nilikuwa mwaka jana hapo ni tofauti sana na miaka ya nyuma, nikambiwa wezi wengi walichomwa moto na wengine wamebadilika hadi kuoa wake mapolisiWale naona wanaibia sana walioko kwenye daladala na wakaacha vioo wazi
Kwanini usisitize kuuliza sio ujinga?Wakuu naomba kuuliza, kuna shule ipo mikoa ya kaskazini inaitwa PATANDI MAALUM SCHOOL, sasa nilitaka kujua ipo mkoa gani, na jografia yake ili ufike upande gari za wap na wapi, kuuliza si ujinga.
Etiiiiih???nilikuwa mwaka jana hapo ni tofauti sana na miaka ya nyuma,nikambiwa wezi wengi walichomwa moto na wengine wamebadilika hadi kuoa wake mapolisi
Eeh siku moja twende TengeruEtiiiiih???
Ipo mkoa WA Arusha wilaya ya Meru ukipanda gari yoyte ya dsm Arusha wanakushusha tengeru ndipo shule ilipo njiani pembeni na hospital ya wilaya na chuo Cha elimu mmalumuWakuu naomba kuuliza, kuna shule ipo mikoa ya kaskazini inaitwa PATANDI MAALUM SCHOOL, sasa nilitaka kujua ipo mkoa gani, na jografia yake ili ufike upande gari za wap na wapi, kuuliza si ujinga.
Wengi boda boda saiviNilikuwa mwaka jana hapo ni tofauti sana na miaka ya nyuma, nikambiwa wezi wengi walichomwa moto na wengine wamebadilika hadi kuoa wake mapolisi
Okay, kumbe ipo njiani tu, hao vibaka wachumba tuIpo mkoa WA Arusha wilaya ya Meru ukipanda gari yoyte ya dsm Arusha wanakushusha tengeru ndipo shule ilipo njiani pembeni na hospital ya wilaya na chuo Cha elimu mmalumu
Nakuumbusha ukiwa tengeru uchunge Sana Kuna wezi wa simu balaa wanakwea gari ikiwa kwenye motion wanakukwapua
Asnte mkuuMkuu ipo Tengeru Arusha nyumbani kabisa.
wa kupuliza Arushaone Chaliifrancisco (ndawoo) Stroke (njeree)
Mtasikia nimeua kibaka, Asante mkuuIko Arusha, ni barabarani kabisa, utashukia Tengeru.
Kwahiyo kama unatokea Dar, waambie machalii wakushushe tengeru, ila ukishuka kuwa makini vibaka ni wengi sana, simu yako ifunge mkononi ili wakitaka kuiba wakate na mkono.
Nauli dar to tengeru inacost how muchIpo mkoa WA Arusha wilaya ya Meru ukipanda gari yoyte ya dsm Arusha wanakushusha tengeru ndipo shule ilipo njiani pembeni na hospital ya wilaya na chuo Cha elimu mmalumu
Nakuumbusha ukiwa tengeru uchunge Sana Kuna wezi wa simu balaa wanakwea gari ikiwa kwenye motion wanakukwapua
Dar Arusha ni 38-46Nauli dar to tengeru inacost how much
AhhahhIko Arusha, ni barabarani kabisa, utashukia Tengeru.
Kwahiyo kama unatokea Dar, waambie machalii wakushushe tengeru, ila ukishuka kuwa makini vibaka ni wengi sana, simu yako ifunge mkononi ili wakitaka kuiba wakate na mkono.