Naomba nitumie maneno yako katika 'utafiti' wangu ili kuonyesha kuwa kwa wale wanaochaguliwa kuingia elimu ya juu kuna upendeleo.Wanafunzi wawili mwalimu mmoja.
Good!!
Shule ya sekondari kizomla iliyoko kata ya mkamba wilaya ya mkuranga mkoa wa pwani,ina wanafunzi wawili tu wa kidato cha tatu,Shule hiyi iliyoko umbali wa takribani km 80 hivi kutoka mkoa wa Dar es Salaam imewapata wanafunzi hao baada ya wengine kufeli kidato cha pili,mtihani uliyofanyika nchini kote mwaka 2012, wanafunzi hao pekee ambao ni mapacha wa jinsi ya ke ndio wanaibeba shule kwa kidato cha tatu.
Ah! Nanren ndugu yangu mbona unanisukumia zogo? Mi nilishawahi kuongea nikaambiwa nilete ushahidi. Nikatoa ule wa Kilwa nikaambiwa mzushi, kigagula,domobovu,mpayukaji n.k
Mwenyezi mungu ana heri na rehema zake hata uzi ule kabla haujakauka Mola kaleta ushahidi.
Hili neno zito naona niwasukumie wengine wenzangu
cc Mag3, Jasusi, Wickama, JokaKuu