KERO Shule ya Sekondari Jitihada, wilaya ya Misungwi - Mwanza imekuwa ni janga kwa wazazi

KERO Shule ya Sekondari Jitihada, wilaya ya Misungwi - Mwanza imekuwa ni janga kwa wazazi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
6,788
Reaction score
16,227
Malalamiko yamezidi nimeona nilifikishe hili hapa jukwaani ili Watanzania wengine walifahamu.

Wazazi wamekuwa wakichangishwa michango ya kila siku, michango isiyokwisha, yaani kwa kifupi shule hii imekuwa na mradi wa kuchangisha pesa kwa wazazi kila siku - yaani imekuwa haina tofauti na private school.

Nadhani serikali inatakiwa isilifumbie macho suala hili.
 
malalamiko yamezidi nimeona nilifikishe hili hapa jukwaani ili watanzania wengine walifahamu, wazazi wamekuwa wakichangishwa michango ya kila siku, michango isiyokuwa kwisha yaani kwa kifupi shule hii imekuwa na mradi wa kuchangisha pesa kwa wazazi kila siku yaani imekuwa haina tofauti na private school. nadhani serikali inatakiwa isilifumbie macho suala hili.
Mpeleke International School of Tanganyika
 
Malalamiko yamezidi nimeona nilifikishe hili hapa jukwaani ili Watanzania wengine walifahamu.

Wazazi wamekuwa wakichangishwa michango ya kila siku, michango isiyokwisha, yaani kwa kifupi shule hii imekuwa na mradi wa kuchangisha pesa kwa wazazi kila siku - yaani imekuwa haina tofauti na private school.

Nadhani serikali inatakiwa isilifumbie macho suala hili.
Mwizuku mgikulu hebu njoo hapa ribbon bar tujadili hili suala
 
Back
Top Bottom