KERO Shule ya Sekondari Morogoro inakabiliwa na uhaba wa mabweni, baadhi ya Wanafunzi wanalala chini

KERO Shule ya Sekondari Morogoro inakabiliwa na uhaba wa mabweni, baadhi ya Wanafunzi wanalala chini

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

dyejah

New Member
Joined
Jul 23, 2026
Posts
1
Reaction score
1
Shule ya Sekondari Morogoro (Kidato cha Tano na Sita) inakabiliwa na changamoto ya uhaba wa mabweni kutokana na ongezeko la idadi ya wanafunzi.

Baadhi ya wanafunzi wanalazimika kulala chini kutokana na msongamano wa wanafunzi katika mabweni yaliyopo.

Tunaomba mamlaka husika ifuatilie suala hili na kuchukua hatua za haraka ili kuhakikisha wanafunzi wanapata mazingira bora na salama ya kuishi shuleni.
 
Back
Top Bottom