By Mwandishi Bora
Member
- Jul 27, 2024
- 26
- 12
Shule ya Sekondari Reginald Mengi yapokea vifaa vya tehama
Ofisi ya Mbunge Jimbo la Moshi Mjini imeendelea kutekeleza ahadi zake na kutatua kero mbalimbali za Jimbo kupitia Serikali Kuu, Halmashauri ya Manispaa, Mfuko wa Jimbo na Wadau mbalimbali wa maendeleo.
Mapema leo Ofisi ya Mbunge imekabidhi Kompyuta, Printa na UPS kwa Shule ya Sekondari Reginald Mengi.