Shule ya Sekondari Reginald Mengi yapokea vifaa vya TEHAMA

Shule ya Sekondari Reginald Mengi yapokea vifaa vya TEHAMA

Joined
Jul 27, 2024
Posts
26
Reaction score
12
IMG-20250130-WA0016.jpg

Shule ya Sekondari Reginald Mengi yapokea vifaa vya tehama

Ofisi ya Mbunge Jimbo la Moshi Mjini imeendelea kutekeleza ahadi zake na kutatua kero mbalimbali za Jimbo kupitia Serikali Kuu, Halmashauri ya Manispaa, Mfuko wa Jimbo na Wadau mbalimbali wa maendeleo.

Mapema leo Ofisi ya Mbunge imekabidhi Kompyuta, Printa na UPS kwa Shule ya Sekondari Reginald Mengi.
IMG-20250130-WA0019.jpg
 
Huyo Mbunge aliyegawa na kupiga mapicha ilitakiwa achapwe viboko au kelbu kwa FUTUHI zake.
 
Back
Top Bottom