Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Yangu meno nimeweka hivyo vitu hapo chini afu mtaa wangu sirahisi nilishwe mbegu maana kidogo tumestaarabika.Hahaa! 😀 Shauri yako jombaa, ongeza na waya kama kumi za silver shingoni uone kama Hessy hatakulisha mbegu. [emoji23]
Shingoni siwezi nikavaa silver hizo nimewachia mzee kijana aka atwoli ,kama nikuvaa ni gold au diamond.Hahaa! 😀 Shauri yako jombaa, ongeza na waya kama kumi za silver shingoni uone kama Hessy hatakulisha mbegu. [emoji23]
Ila sikujua kama hizo nyororo za silver ndio trademarks Yao.Hahaa! 😀 Shauri yako jombaa, ongeza na waya kama kumi za silver shingoni uone kama Hessy hatakulisha mbegu. [emoji23]
Mombasani eeh? Ndio maana huwa napenda ziara za MSA watu wastaarabu kama wabongo, hilo nalo sio siri. Nairobi kuzuri kupindukia ila kuna baadhi ya vijana ambao ni wahuni tena sana. Kuna police station pale mitaa ya Saika waliiwaangusha OCS watano kwa msururu hadi polisi wakawa wanakataa kuwa promoted kwa uoga wa kufanyiwa kweli.Yangu meno nimeweka hivyo vitu hapo chini afu mtaa wangu sirahisi nilishwe mbegu maana kidogo tumestaarabika.View attachment 1024022
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio zao hizo alafu kwa kujiamini kwao bila uoga huo ndio muenekano wao wote. Utadhani ni magwanda yao ya kivita. Ila janja janja zao zilifika mwisho baada ya kitengo maalamu cha kupambana nao, cha Kenya Police, Rhino Squad na dawa yao Hessy pia kuwaangusha kama mende bila huruma.
Dah! Hua sipendi kuona vijana wakiangushwa kiasi hicho lakini Kwa usalama serkali lazima iwashughulikie,,,,,,Ndio zao hizo alafu kwa kujiamini kwao bila uoga huo ndio muenekano wao wote. Utadhani ni magwanda yao ya kivita. Ila janja janja zao zilifika mwisho baada ya kitengo maalamu cha kupambana nao, cha Kenya Police, Rhino Squad na dawa yao Hessy pia kuwaangusha kama mende bila huruma.
Lenga hizo storiSheng hubadilika kwa kila generation, maneno mapya hubuniwa kadiri muda unavyosonga. Tukiwa wadogo tuliwachanganya wazazi wetu, sasa ni zamu yetu kuchanganywa na kizazi kipya. Yaani nikikaa karibu na vijana wa kisasa huwa nabaki kudata maana sinyiti chochote.
Sasa hapo kemba, kulishwa pamba, mboka yaani noma.
Sio Mombasa,siwajua maneno ya Mombasa wewe? Mtaa wangu upo Nairobi tu ila si rahisi kutokee visa vya aina hiyo.Mombasani eeh? Ndio maana huwa napenda ziara za MSA watu wastaarabu kama wabongo, hilo nalo sio siri. Nairobi kuzuri kupindukia ila kuna baadhi ya vijana ambao ni wahuni tena sana. Kuna police station pale mitaa ya Saika waliiwaangusha OCS watano kwa msururu hadi polisi wakawa wanakataa kuwa promoted kwa uoga wa kufanyiwa kweli.
Sheng ni kubwa sana,si wote hatuongei sheng same,but tuyaelewana,kuna diffrence ya sheng ya eastlands some parts na westlands na rongai,hizo sheng ziko diffrent,hadi accent iko diffrent,utapata wenye wanaongea na pua pia sana sana ronga na westiHicho kilugha kinaniboa kinyama hua sipendi hata kumsikia mtu akikizungumza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh aseeeh nilitoka kapakemba - to watch
wanakulishwa pamba ghetto juu ya ku jog... - killed because of crime.
kuingia mboka mkinyamba area - going to steal while shooting
si bie hawa ma njege watukupa mbegu Jo - not good you will be shot by the police.
ama ukikumbwa uskumwe mbwenya upigwe mvua mob sana zabalanga - (not sure about this) but i guess it means being beaten by a mob.
maweng - money
gongoro - 500 bob
ukirombosa na ma yengs bukla - dancing with girls (yeng) at a club (bukla)
usitake kuishi maisha ya kismoothe ati unapiga luku - living goodlife and dressing good.
unatumia ka mkia na kwa marema ya yours una mbulu bwaku na system inachuna na huna tuki yoh. .- You are using a smartphone (mkia) and in your house (marema) you have big tv screen (mbulu bwaku) and loud music system yet you don't have a legit job (tuki).
Sir jah atakubless uki piga husle ya yours bie... - God will bless you if you hustle good.
Ulikuwa ndingo? Kupiga mraa?Mmmh aseeeh nilitoka kapa