Shule ya sheng iko wapi

Shule ya sheng iko wapi

Hahaa! 😀 Shauri yako jombaa, ongeza na waya kama kumi za silver shingoni uone kama Hessy hatakulisha mbegu. [emoji23]
Yangu meno nimeweka hivyo vitu hapo chini afu mtaa wangu sirahisi nilishwe mbegu maana kidogo tumestaarabika.
IMG-20190206-WA0002.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yangu meno nimeweka hivyo vitu hapo chini afu mtaa wangu sirahisi nilishwe mbegu maana kidogo tumestaarabika.View attachment 1024022

Sent using Jamii Forums mobile app
Mombasani eeh? Ndio maana huwa napenda ziara za MSA watu wastaarabu kama wabongo, hilo nalo sio siri. Nairobi kuzuri kupindukia ila kuna baadhi ya vijana ambao ni wahuni tena sana. Kuna police station pale mitaa ya Saika waliiwaangusha OCS watano kwa msururu hadi polisi wakawa wanakataa kuwa promoted kwa uoga wa kufanyiwa kweli.
 
Ila sikujua kama hizo nyororo za silver ndio trademarks Yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio zao hizo alafu kwa kujiamini kwao bila uoga huo ndio muenekano wao wote. Utadhani ni magwanda yao ya kivita. Ila janja janja zao zilifika mwisho baada ya kitengo maalamu cha kupambana nao, cha Kenya Police, Rhino Squad na dawa yao Hessy pia kuwaangusha kama mende bila huruma.
 
Dah! Hua sipendi kuona vijana wakiangushwa kiasi hicho lakini Kwa usalama serkali lazima iwashughulikie,,,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheng hubadilika kwa kila generation, maneno mapya hubuniwa kadiri muda unavyosonga. Tukiwa wadogo tuliwachanganya wazazi wetu, sasa ni zamu yetu kuchanganywa na kizazi kipya. Yaani nikikaa karibu na vijana wa kisasa huwa nabaki kudata maana sinyiti chochote.

Sasa hapo kemba, kulishwa pamba, mboka yaani noma.
Lenga hizo stori
 
Mombasani eeh? Ndio maana huwa napenda ziara za MSA watu wastaarabu kama wabongo, hilo nalo sio siri. Nairobi kuzuri kupindukia ila kuna baadhi ya vijana ambao ni wahuni tena sana. Kuna police station pale mitaa ya Saika waliiwaangusha OCS watano kwa msururu hadi polisi wakawa wanakataa kuwa promoted kwa uoga wa kufanyiwa kweli.
Sio Mombasa,siwajua maneno ya Mombasa wewe? Mtaa wangu upo Nairobi tu ila si rahisi kutokee visa vya aina hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho kilugha kinaniboa kinyama hua sipendi hata kumsikia mtu akikizungumza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sheng ni kubwa sana,si wote hatuongei sheng same,but tuyaelewana,kuna diffrence ya sheng ya eastlands some parts na westlands na rongai,hizo sheng ziko diffrent,hadi accent iko diffrent,utapata wenye wanaongea na pua pia sana sana ronga na westi
 
kemba - to watch

wanakulishwa pamba ghetto juu ya ku jog... - killed because of crime.

kuingia mboka mkinyamba area - going to steal while shooting

si bie hawa ma njege watukupa mbegu Jo - not good you will be shot by the police.

ama ukikumbwa uskumwe mbwenya upigwe mvua mob sana zabalanga - (not sure about this) but i guess it means being beaten by a mob.

maweng - money

gongoro - 500 bob

ukirombosa na ma yengs bukla - dancing with girls (yeng) at a club (bukla)

usitake kuishi maisha ya kismoothe ati unapiga luku - living goodlife and dressing good.

unatumia ka mkia na kwa marema ya yours una mbulu bwaku na system inachuna na huna tuki yoh. .- You are using a smartphone (mkia) and in your house (marema) you have big tv screen (mbulu bwaku) and loud music system yet you don't have a legit job (tuki).

Sir jah atakubless uki piga husle ya yours bie... - God will bless you if you hustle good.
Mmmh aseeeh nilitoka kapa
 
Back
Top Bottom