Shule za Afrika Kusini kuanza kufunza Kiswahili baada ya kuingia makubaliano na Kenya

Endelea kukariri hivyo hivyo [emoji7][emoji7][emoji7]i like it
 
Endelea kukariri hivyo hivyo [emoji7][emoji7][emoji7]i like it
Mnasema lugha ni yenu ila hamjui mnyambuliko wa vitenzi. Niambie ni kitenzi kipi ambacho hakiwezi kunyambuliwa?
Leo ndio nimeamini illiteracy iko juu sana tzedi. Hamtoki kwenye kundi la LDC hivi karibuni.
 
Endelea kuropoka ropoka [emoji7][emoji7][emoji7]i like it
Mnasema lugha ni yenu ila hamjui mnyambuliko wa vitenzi. Niambie ni kitenzi kipi ambacho hakiwezi kunyambuliwa?
Leo ndio nimeamini illiteracy iko juu sana tzedi. Hamtoki kwenye kundi la LDC hivi karibuni.
 
Jenerosa na MK,

Wapo walimu wa Lugha wazuri tu ambao wanajua kufundisha tafsida na vinyumbulisho vyote. Usione uandishi wa baadhi ya watu humu jukwaani ukadhani ndio hali ya walimu wa Kiswahili iko hivyo pia. Asilimia kubwa ya matamshi ya watu hua wanaathiriwa na lugha zao asili lakini haimaanishi kuwa hawaelewi Lugha husika.

Kama utakua umewahi Kufundishwa darasani na mwalimu toka India au Ireland utakua umenielewa.
 
[emoji4][emoji4][emoji316][emoji316] u jus fuc ya wyf n sleep don wan 2 hear dat she already inserted a cup of tobacco down there #imbecile
Najua leo tangu kukuche hujatumiwa hayo makopa kopa ndo maana unaniquote ili nikutumie [emoji7][emoji7][emoji7]
 

Mzee uko wapi?
 
[emoji4][emoji4][emoji316][emoji316] u jus fuc ya wyf n sleep don wan 2 hear dat she already inserted a cup of tobacco down there #imbecile

Wewe ukitukana hata hupendezi,
Matusi wachia wakora na Majobless kama Kina Msapere & co
 
I understand you perfectly well. Likewise,how Kenyans talk or write on social media platforms doesn't define what's taught in Kenyan schools. There are teachers who have specialized in Swahili only and they teach perfectly fine
Vitabu vinavyotumiwa kufundishia hii lugha vimeandikwa kiswahili kama hicho chenu
Kuanzia kiswahili mufti by wallah bin wallah (shule ya msingi)
Vitabu vya fasihi vya sekondari vimeandikwa na watanzania na wakenya.
Wengine tuliosoma nao wanasomea kiswahili K.U n.k
 
Hakuna ajuaye misamiati yote katika lugha isipokuwa ile tu anayoitumia katika mazingira yake. Mswahili wa Pwani hatumii misamiati ya Bara na vivyo hivyo kwa Mswahili wa Bara. Mf. Chunga, Angua, Lina, Mbizi, Kasia.
 
Yaani hata mtoto wa darasa la nne atashangaa kwa haya maneno yako. Kwani Funzwa, Funzia, Funzana si vitenzi vilivyonyambuliwa?
Hakuna kitu funza chenye maana ya fundisha....bali funza ni mdudu misili ya kiroboto mwenye sifa ya parasite.
 

Nafahamu vizuri sana masuala ya lafudhi na pia siongei kuhusu uandishi wenu duni wa humu JF.
 
Jamaa wa "kufunza"!
 
Hujui kiswahili vizuri alafu eti unataka ukafundishe

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…