K Kidukustyle Member Joined Oct 26, 2011 Posts 8 Reaction score 1 Nov 27, 2013 #1 Naomba msaada wanajamvi, hasa wazazi wenzangu. Ninatafuta Nursery School/Preschool nzuri kwa ajili ya mtoto wangu wa miaka miwili na nusu (English medium) Ninaishi Mbezi Beach - DSM. Ninatanguliza shukurani zangu za dhati.
Naomba msaada wanajamvi, hasa wazazi wenzangu. Ninatafuta Nursery School/Preschool nzuri kwa ajili ya mtoto wangu wa miaka miwili na nusu (English medium) Ninaishi Mbezi Beach - DSM. Ninatanguliza shukurani zangu za dhati.