Kidukustyle
Member
- Oct 26, 2011
- 8
- 1
Naomba msaada wanajamvi, hasa wazazi wenzangu. Ninatafuta Nursery School/Preschool nzuri kwa ajili ya mtoto wangu wa miaka miwili na nusu (English medium) Ninaishi Mbezi Beach - DSM. Ninatanguliza shukurani zangu za dhati.