Shule za bweni vs shule za kutwa

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Wakuu kwa wale wote wenye uelewa wa shule hizo naomba kujua ubora na udhaifu wa hizo shule mana kuna mtoto wa dada anatarajiwa kuanza kidato cha 5 hapo badae mwezi wa 7 hivyo nahitaji kujua machache kuhusiana na hizo shule 2 ile tupate best choice.

Karibuni!
 
Shule za bweni ni nzuri maana mwanafunzi anakua na muda mwingi wa kujisomea pia anaweza kuinteract na wenzake wa bweni kwa muda mrefu na kufanya mijadala.pia anakua na ratiba ya kusoma tu labda awe na katabia ka kuchepuka ila kama ametulia hostel ni pazuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…