Shule za English Medium michango imekua mingi sana. Halafu ni ujanja ujanja

Prince05

Member
Joined
Feb 27, 2024
Posts
43
Reaction score
84
Kumekua na tabia ya shule hizi kuchangisha wazazi mara pesa za picnic, mara study tour, mara graduation na pesa ya mpiga picha elfu 10 picha 1 (hii ni ajabu).

Sasa kwenye michango hiyo wamgeuza ni vitega uchumi. Mfano kuna shule moja mkoani tabora ilichangisha michango watoto waende picnnic na hifadhi ndogo kuangalia wanyama.

Lakini kilichotokea baada ya wazazi kuchanga watoto walifanyia vitu tofauti na hawalupelekwa sehem walizokua wamesema. Walibana matumizi wakafanya vitu ambayo havikua kwenye barua zao.

Next time tutaanza kuzitaja kwa majina shule hizo na majina ya walimu wanao ratibu mambo haya.
 
Hujalazimishwa, st kayumba zipo zinatoa elimu bila malipo
 
Njaa ni mbaya, hakuna watu wanaomba na kukopa kama waalimu, huko majumbani kwao wanaomba hadi chumvi watashindwa kukwambia uchangie vitambi vyao shuleni!.
 
Back
Top Bottom