Shule za jumuiya wazazi zaelekea kufa hasa

Shule za jumuiya wazazi zaelekea kufa hasa

SAMAHONJE

Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8
Reaction score
4
Upandishwaji wa ada kiholela bila kuangalia miundo mbinu ya shule zao ni kuingiza siasa ktk elimu.Naona viongozi wa jumuiya ya wazazi ni kuangalia fedha ziingiazo siyo taaluma.Ninyi viongozi kama hamusimamii taaluma na mnapandisha ada kiholela hata fedha iliyokuwa inapatikana mtakosa.
 
Ni kweli nimekuwa mwalimu huko handeni ni ya wazazi(ccm) yaani zinaendeshwa kisiasa sana!!
 
TZ every thing is corrupted...
Sijui 10-20 yrs to come,mambo yatakuwaje?
 
Back
Top Bottom