Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtoto hajawai kumuona mwalimu toka ajiunge na shule unategemea ajibu nini?Smile Smile Smile! Umezipata wapi hizo answer sheets? Nimecheka na kulengwa machozi ya huzuni kwa wakati mmoja! Nadhani hatutakiwi kuilaani ccm kwa kila jambo. Wazazi pia wanahusika jamani. Hao wanafunzi walioandika hayo majibu si tu kuwa hawana akili/hawakufundishwa vizuri hayo masomo darasani, bali hawana nidhamu pia.
Mwandiko mzuri sana, tofauti kabisa na majibu!
mtoto hajawai kumuona mwalimu toka ajiunge na shule unategemea ajibu nini?