Shule za kata, ni nani apewe sifa?

Shule za kata, ni nani apewe sifa?

Joined
Dec 11, 2010
Posts
3,321
Reaction score
6,330
Mheshimiwa Zambi wakati ana changia bajeti ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi amekimwagia sifa chama cha mapinduzi na serikali yake kwa kujenga shule nyingi za kata. Lakini wakati huohuo ameitaka serikali kupunguza au kuacha kuwachangisha wananchi fedha kwa ajili ya ujenzi wa mashule maana michango hiyo imekuwa kero kwa wananchi.

Wanajamvi. Tujadili, ni nani anapaswa kupewa sifa kwa mchango wa ujenzi wa shule za kata?
 
Wananchi wapewe pongezi kwa kutoa fedha. Pia serikali ya CCM ilaumiwe kwa mipango mibovu imesababisha kuwepo kwa majengo bila vitabu, maabara, waalimu.
 
Back
Top Bottom