shule za kata

young j

Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
58
Reaction score
17
hv serikali ilkusudia k2 gani kuanzisha shule za kata ambazo hazna walimu, wanafunzi wanateseka coz inabd kutafuta tution wakati wazazi hawana uwezo wa kuwapeleka tution....wanaumia jaman....!
naomben maon yenu kuhusu hili tatizo linalowakabili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…