Wakuu habari gani?, mimi nina Mdogo wangu amemaliza kidato cha nne Mwaka jana 2012 kwa bahati mbaya aja bahatika kuchaguliwa ktk shule ya gava, kwa hiyo nahitaji kumpeleka katika shule yeyote yenye gharama nafuu isiyozidi shilingi laki tano kwa mwaka (yeye anataka kusoma HKL), mimi nipo Dar na ningependa shule hiyo iwe dar au jirani na mkoa wa dar. Kwa yeyote anaefahamu shule hizo naomba mnijulishe wana jamii wenzangu.AHSANTE

Mkuu mdogo wangu hawezi kuchaguliwa shule za gava kwa sababu ana IV-26 lakini ana credit 3.

aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeGava, I mean GOVERNMENT na nimekwambia ni mdogo wangu pia ufahuru wake ni IV-26 ana credit 3 ,CKL na dhani sasa umenisoma!
nafasi ya kuendelea na o-level unayo tena kwa kurisit...ila a-level huna!!!!na 2liopata iv-32 2nayo nafasi ya kuendelea o-level?
na 2liopata iv-32 2nayo nafasi ya kuendelea o-level?
Naona neno linarudiwa, hivi lengo ni kuandika shule za gamba au nini?