Shule za kulipia zenye gharama nafuu kwa a-level

lwampel

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Posts
249
Reaction score
55
Wakuu habari gani?, mimi nina Mdogo wangu amemaliza kidato cha nne Mwaka jana 2012 kwa bahati mbaya aja bahatika kuchaguliwa ktk shule ya gava, kwa hiyo nahitaji kumpeleka katika shule yeyote yenye gharama nafuu isiyozidi shilingi laki tano kwa mwaka (yeye anataka kusoma HKL), mimi nipo Dar na ningependa shule hiyo iwe dar au jirani na mkoa wa dar. Kwa yeyote anaefahamu shule hizo naomba mnijulishe wana jamii wenzangu.AHSANTE
 
jaribu BUTIMBA TTC Hata nape amesoma pale.
 
iNGEKUWA NI MBEYA JIJINI, NINGESHAURI AJE ITENDE HIGH SCHOOL, ADA SH 40,000 LAKINI KWA MWAKA HUU OFA NI SH 300,000 KWA MWAKA, AKIKAA HOSTEL ATALIPA SH 500,000 ZAIDI. muhula WA KWANZA ADA SH 200,000 na hosteli 250,000. MICHEPUO NI HGE, HKL, HGK NA HGL. Karibu! 0754734009
 
Wakuu habari gani?, mimi nina Mdogo wangu amemaliza kidato cha nne Mwaka jana 2012 kwa bahati mbaya aja bahatika kuchaguliwa ktk shule ya gava, kwa hiyo nahitaji kumpeleka katika shule yeyote yenye gharama nafuu isiyozidi shilingi laki tano kwa mwaka (yeye anataka kusoma HKL), mimi nipo Dar na ningependa shule hiyo iwe dar au jirani na mkoa wa dar. Kwa yeyote anaefahamu shule hizo naomba mnijulishe wana jamii wenzangu.AHSANTE

Mkuu mbona kama una papara? Naamini bado hawajatangaza waliochaguliwa form five au mdogo wako yuko kati ya wale 60+%?
 
gava ndio nini??
ni wewe au yeye??
Samahani labda ungesema amefaulu kwa daraja lipi? Selection zimetoka lini?
sCsjXWM0BAbNgsws1rABLh206lZFX9ttsslytqz583z08bzj7MJOtUVwhnB2ymqMZYG2fZzKU6wLpVF6sC1U37fLm4IxlkFTinFAfpCi5OQX0sovTFvCfvA5XEhBikvBk7rklFgOt7HEwAAAAASUVORK5CYII=
 
Mkuu mdogo wangu hawezi kuchaguliwa shule za gava kwa sababu ana IV-26 lakini ana credit 3.
 
Gava, I mean GOVERNMENT na nimekwambia ni mdogo wangu pia ufahuru wake ni IV-26 ana credit 3 ,CKL na dhani sasa umenisoma!
 
Nani kakwambia hawezi kuchaguliwa???
Kumbuka mwaka juzi waliopata I-III walikuwa 32,000 na karibu wote walipangiwa shule za govt
sasa mwaka jana(2012) waliopata hiyo I-III ni 23,000 only. Is like kuna upungufu wa wanafunzi 9000 ili kujaza shule zote za government!
Stay calm! Subiri selection zitoke kwanza!
 
Back
Top Bottom