Shule za msingi za private ipi inafaa?

Shule za msingi za private ipi inafaa?

nkyalomkonza

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
1,154
Reaction score
444
Wadau nina dogo nataka kumuanzisha darasa la kwanza. Kwa hapa dar ni ipi shule nzuri ya bei nafuu. Naomba msaada wenu wazazi
 
View attachment 77510
unataka kulinganisha shule za kikwete na binafsi picha iliyoko juu ni moja ya darasa la shule za kikwete, kifupi kama unampenda mtoto wako shele za kikwete hazifai....
 
Mkuu nalijua hilo sina mpango wa kumpeleka huko ndio maana nauliza zipi shule nzuri hapa dar?
 
Back
Top Bottom