DOKEZO Shule za Msingi ziwekwe kwenye haya makundi: Biashara, Sayansi na Sanaa

DOKEZO Shule za Msingi ziwekwe kwenye haya makundi: Biashara, Sayansi na Sanaa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,446
Reaction score
1,645
Habari Tanzania !

Nawaomba Wenye mamlaka na usimamizi wa Elimu pamoja na wadau wa elimu hapa Tanzania.

Ikiwapendeza; nawaomba mfanye mabadiliko tena kwenye Shule za Msingi kila Kata - Shule zigawanywe kwenye Makundi makuu 3.
1. Shule - Biashara
2. Shule - Sayansi
3. Shule - Sanaa

Kila Wilaya pawepo na Shule Sekondari (Ordinary level & Advanced Level) makundi 3.
1. Shule - Biashara
2. Shule - Sayansi
3. Shule - Sanaa

Kama kweli tunataka wataalamu wa uhakika na wasio na utapeli kabisa.

Mfano;
Wilaya ya Nyamagana - Mkoa wa Mwanza.

SHULE ZA MSINGI
1. Shule Msingi Nyamagana - Sayansi.
2. Shule ya Msingi Nyakabungo - Biashara
3. Shule Msingi Bugando - Sanaa

SHULE ZA SEKONDARI
1. Shule Pamba Sekondari - Biashara
2. Shule Mwanza Sekondari - Sanaa
3. Shule Mkolani Sekondari - Sayansi.

Oya tukiifanya hii nchi nzima. Tutawapata watoto wazuri sana kwenye ulimwengu wa maarifa.

NB
NBAA, PSPTB, TIOB, ERB, PC, MCT, BASATA nk
Watakuwa wanawacheki wadau wao chap kwa haraka tofauti na sasa.

Karibuni.
 
Kwa shule za msingi hapana. Watoto wako katika hatua za awali sana katika ujifunzaji na uchaguzi wa fani au mrengo wa kielimu. Wao wana akili na mawazo huru yenye kuweza kuruka na sayansi, biashara na sanaa kwa pamoja bila tatizo lolote.

Uchaguzi wa mrengo wa kielimu na hata mgawanyo wa shule katika makundi kama unavyoshauri ubaki katika shule ya sekondari za chini na juu, vyuo vya kati na vyuo vikuu.
 
Haaaaaaaaahaaaaaaaaaa
Dunia haipo huko. Ilishaondoka zamani sana.

Jiulize
"Mzazi, Shule(Walimu) au Serikali ni nani anapaswa achague mlengo wa elimu kati ya Biashara, Sanaaa au Sayansi kwa Mtoto?
 
Back
Top Bottom