Godee jr
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,836
- 2,536
Wakuu habari. Wote tunafahamu changamoto ya kumtafutia mtoto shule nzuri ya Secondary.
Kijana wangu anamaliza darasa la saba wiki hii. Naombeni recommendations za shule nzuri maeneo ya Same na Mwanga. Nimechagua maeneo hayo nikiamini kuwa hayana baridi sana.
Shuke iwe ya mchanganyiko maana maisha yamebadilika sana. Kumpeleka mtoto shule ya boys pekee sioni kama ni wazo nzuri kwa sasa.
Asanteni sana kama mtanishauri huku mkitaja na ada zake pia.