Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Hii imekaaje Shule za serikali Kenya kuwa na School buss Ila sisi tukawa hatuna.?
Cc @Dr Doroth Gwajima D
Cc @Dr Doroth Gwajima D
Hii imekaaje Shule za serikali Kenya kuwa na School buss Ila sisi tukawa hatuna.?
Cc @Dr Doroth Gwajima D
Yet kuna mamilioni yanaenda kwa wacheza mpira, billions of money za kununulia makada wa sisiem vieite za kuzunguka tu nchi nzima wakati watoto wanakaa chini na baadhi ya shule madarasa hayatoshiSio kipaumbele chetu Kwa Sasa, Kuna watoto wanasomea chini ya miti na madarasa ya kupishana (asubuhi na Mchana)
Hatukuweka kwenye bajeti bajeti ya mwaka uhu ilikuwa ni kununua mabus ya ccm yatakayo saidia kurahisisha usafiri kwa wanachama kipindi chote cha kampeni
Sasa mbona mnawalazimisha wamiliki wa daladala wawabebe bure. Elimu mumeweka siasa za kijinga taifa linaangamia huku mnatishana tishana Tu kama misukule.Hatupaswi kufanya jambo kwakuwa Kenya wamefanya.
Kenya ni nchi, Tanzania ni nchi.
Ni vyema ungehoja mambo ya Zanzibar ambako ni kasehemu cha Tanzania. Kwanini Zanzibar wamama hujifungua bure, hawanunui vifaa?
Kwanini Zanzibar huduma za afya almost ni bure huku MNH kuna bila pesa unaachwa ujifie?
Kwanini Zanzibar shule zao zina miundombinu mizuri kuliko sisi ?
Kwanini JKT inachukua vijana toka Zanzibar while jku haitaki kabisa vijana kutoka bara?
Umeme ulipokuwa unakatika katika mlijitokeza kutetea ujinga kwamba hata New York marekani umeme hukatika.(Mambo ya kijinga)Hatupaswi kufanya jambo kwakuwa Kenya wamefanya.