Wanajf, katika hali ya kushangaza leo hii gari ya matangazo ya manispaa limepita likitangaza kuwa shule zote za manispaa hazitafunguliwa tar. Iliyotakiwa zifunguliwe yaani j.tatu ispokuwa shule za ruvuma pr. Na lizabon pekee ndo zilizotekeleza mashart ya serikali ila ni prm. Pekee. Huvyo tunmipigwa na butwaa na tumejiuliza maswali mengi sana ila haikuwa rahis kuuliza mtangazaji hivyo nipatieni muda kesho niweze kufuatilia jambo hili nitawajuza kila kitu. Ila kwa mwanzo ndiyo mambo yalivyo ktk manispaa hii YA SONGEA