Shule za songea manispaa kutokufunguliwa ispokuwa ya lizabon na ruvuma

kistwangara

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
656
Reaction score
94
Wanajf, katika hali ya kushangaza leo hii gari ya matangazo ya manispaa limepita likitangaza kuwa shule zote za manispaa hazitafunguliwa tar. Iliyotakiwa zifunguliwe yaani j.tatu ispokuwa shule za ruvuma pr. Na lizabon pekee ndo zilizotekeleza mashart ya serikali ila ni prm. Pekee. Huvyo tunmipigwa na butwaa na tumejiuliza maswali mengi sana ila haikuwa rahis kuuliza mtangazaji hivyo nipatieni muda kesho niweze kufuatilia jambo hili nitawajuza kila kitu. Ila kwa mwanzo ndiyo mambo yalivyo ktk manispaa hii YA SONGEA
 
Mpaka kule Ruhila Boyz wamesema pia hawatafungua......
 
Wanajf, katika hali ya kushangaza leo hii gari ya matangazo ya manispaa limepita likitangaza kuwa shule zote za manispaa hazitafunguliwa tar. Iliyotakiwa zifunguliwe yaani j.tatu ispokuwa shule za ruvuma pr. Na lizabon pekee ndo zilizotekeleza mashart ya serikali ila ni prm. Pekee. Huvyo tunmipigwa na butwaa na tumejiuliza maswali mengi sana ila haikuwa rahis kuuliza mtangazaji hivyo nipatieni muda kesho niweze kufuatilia jambo hili nitawajuza kila kitu. Ila kwa mwanzo ndiyo mambo yalivyo ktk manispaa hii YA SONGEA

HII NI "INTERNTIONAL FORUM" ? Hata kama umesoma shule ya kata hii kali. Spelling nazo usiseme......
 
Back
Top Bottom