Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,979
Habarini wakuu!
Kuna hizi shule zinazoitwa "Shule za wanafunzi wenye Vipaji vya kipekee vya kiakili."
Kigezo pekee kinacho tumika kudahili wanafunzi huko ni "national exams".
Nimekuwa nikijiuliza maswali kadhaa:
1: Hivi ni kweli wanafunzi wanao soma,au walio wahi soma huko wana "vipaji vya kipekee vya kiakili"?
2: Kama jibu 1 ni ndiyo,mazingira gani yamewekwa katika shule hizo,ya kuweza kukuza "vipaji vya kipekee vya kiakili vya wanafunzi hawa?
3: Pia kama jibu na 1 ni ndiyo,kwanini baadhi ya wanafunzi wanatoka na div two au div three,ambazo ni common kwenye shule za kawaida?
4: Kuna empirical evidence yoyote ya product toka shule hizo i.e. Tabora Boys,Mzumbe,Kibaha,Ilboru na Kilakala kuwa na utendaji/ubunifu ulio tukuka after school?
[nimeiacha Kisimiri kwani ni special ya hv karibuni.]
Karibuni kwa mjadala.