Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,761
hata mimi nilichaguliwa kwenda shule ya wasichana ya vipaji maalumu sio wote ni vipaji bali pia juhudi binaffsihabarini wakuu!
Kuna hizi shule zinazoitwa "shule za wanafunzi wenye vipaji vya kipekee vya kiakili."
kigezo pekee kinacho tumika kudahili wanafunzi huko ni "national exams".
Nimekuwa nikijiuliza maswali kadhaa:
1: Hivi ni kweli wanafunzi wanao soma,au walio wahi soma huko wana "vipaji vya kipekee vya kiakili"?
2: Kama jibu 1 ni ndiyo,mazingira gani yamewekwa katika shule hizo,ya kuweza kukuza "vipaji vya kipekee vya kiakili vya wanafunzi hawa?
3: Pia kama jibu na 1 ni ndiyo,kwanini baadhi ya wanafunzi wanatoka na div two au div three,ambazo ni common kwenye shule za kawaida?
4: Kuna empirical evidence yoyote ya product toka shule hizo i.e. Mzumbe,kibaha,ilboru na kilakala kuwa na utendaji/ubunifu ulio tukuka after school?
[nimeziacha tabora boys na kisimiri kwani ni special za hv karibuni.]
karibuni kwa mjadala.
nairi kwamba asilimia 80%mtoe mwigulu mchemba wengi hawajaishia hapa hapa wengi wameenda mbali na wanamafanikio makubwa sana sana kielimu na kiutafiti,kwa ninaowafahamu mimi wengi wameishia kuchukuliwa na nchi za watu huko huko wanakokwenda kusoma seems their potential.na ukija ona watu kama wakina mwigulu -ilboru ndio wanaoharibu hizi shule maana hawakwenda pale kama vipaji maalumu kweli ni michongo nakushikwa mkono lakini.ila hata kama sio kipaji maalumu ukikopy hawa wenye navyo ukaweka juhudi binafsi basi na wewe unaitwa kipaji maalumu.