Shule zetu (Kayumba vs Wakishua (private schools)

Shule zetu (Kayumba vs Wakishua (private schools)

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
Mtoto wa maskini anasomea daftar gharama zaidi ya elfu mbili |2000 na mtoto wa tajiri shilling mia mbili.

Maskini ataendelea kuwa maskini
Na tajiri kuwa tajiri kwa sababu ya hali ya nchini. Elimu bure iko wapi au fumbo mfumbie mjinga!

bora ingebaki ada ya shule mara kila siku mwanafunzi hajakamilika. Kwani ada shingapi? Na mbona mahitaji yameongezeka!

Serikali kweli mnatenda haki. Au ndo kutuchoka! Mnyonge HAWEZI pata
Haki wakati ushamnyonga.

Maskini hana bahati! Tajiri anasoma kitonga! Nionekane sina ueredi ila nyie ndo mlikotoka ila leo hatuna maana! Kisa viset vinafoka.

Hali ngumu ya maisha inafanya uovu kuongezeka maana mtu anafosi panapovuja ili kuezeka.

Kula hana uhakika! Atahishije mtoto wa AFRIKA. Atujali tulipotokka ila tunashukhuru tulipofika, tukiamka asubuhi dua yetu moja! Allhamudulilah
Kula iwe uhakika.
 
Kwani kuna mtu analazimushwa kumpeleka mtu St kayumba? Ni mwamko wamzazi we ulisha wahi kuona cha bure kweli? Kama sio upuuza
Viongozi wote wakubwa wa nchii hii hawajasoma sent kayumba [emoji17][emoji17]
 
Back
Top Bottom