Shule zetu za kata zina vioja sana

Shule zetu za kata zina vioja sana

Sainya Jnr

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2019
Posts
467
Reaction score
1,112
Mwanafunzi mmoja alikuwa anavutiwa kimapenzi na mwalimu wake ambaye alikuwa ni mrembo haswa.

Basi siku moja mwalimu yule alitoa test.
Yule mwanafunzi akachomekea na barua yenye ujumbe wa mapenzi mulemule kwenye karatasi yake.

Yule mwalimu akakusanya karatasi akaenda kuzisahihisha nyumbani kwake.

Yule mwanafunzi akawaadithia rafiki zake alichokifanya.
Wengine walimsifia kwa ujasiri wake na wengine walimtisha kwa kitendo alichokifanya.

Kesho yake yule mwalimu aliingia darasani akagawa karatasi zote kwa wanafunzi isipokuwa ya yule mwanafunzi.
Akamfuata alipo akamwambia "Naomba tuongozane staff room"

Yule mwanafunzi aliogopa sana akijua tayari kishawaka.
Hata wale rafiki zake wakajua mwenzao shule ndio basi tena.

Ila walipofika ofisini yule mwanafunzi hakuamini macho yake alipoona

SUBIRINI KIDOGO WAUNGWANA

HIVI MNANILIPA?

MBONA KAMA NAUMIZA KICHWA SANA?

MSHANIUDHI [emoji53][emoji53][emoji53]

SIENDELEI[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]

Copiado de alguna parte
Por Sportslady_Tz [emoji460] [emoji460] [emoji460]
 
Phonex

Alipofika ofisini, alishaa sana kuona mwalimu yule akimwambia kuwa hakukusanya mtihani siku ya jana, isipokuwa barua ile ya mapenzi. Akamsifia sana kuwa kaiandika vizuri, na kwa hiyo ameisahihisha na amepata marks 78!

Mwisho
 
Jamani hawa form 2 waongezewe shughuli za kufanya huko majumbani. Maana tangu wapige ile Assessment yao (sio mtihani ule) wa Form Two National Assessment (FTNA) usumbufu umeongezeka mtaani na humu jukwaani.
 
Jamani hawa form 2 waongezewe shughuli za kufanya huko majumbani. Maana tangu wapige ile Assessment yao (sio mtihani ule) wa Form Two National Assessment (FTNA) usumbufu umeongezeka mtaani na humu jukwaani.
Haya tutawaongezea usijali [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakukumbusha. Ukitaka kuandika junior kwa kifupi ni JR na sio jnr
 
Back
Top Bottom