Shuleni inabidi waanze kutoa somo la namna ya kutongoza, ubakaji na ulawiti kwa watoto wadogo vimezidi

Shuleni inabidi waanze kutoa somo la namna ya kutongoza, ubakaji na ulawiti kwa watoto wadogo vimezidi

Unajuana nae? Au ndio umemuona tu mshipa ukasimama??

Salaam, ikifatiwa na siku yako ilikuaje....mwambie yako pia ilikua super fine, "naomba kukununulia kinywaji ila sina cash hela ipo kwa simu naomba namba ya kutuma kama hautajali" akikupa namba tuma pesa kisha nyamaza.....nyamaza bro😹

Mbinu ikitiki uje namie nkupe namba unambie ahsante.

Akikataa achana nae bana wanawake ni wengi asikupande kichwani😹
Bet hii mbona ataliwa Kila siku
 
Huu Uzi naona title imebadilishwa kuna nini?

tittle inatakiwa iwe,,,,, NAOMBA TIPS ZA KUMTONGOZA DEM JEURI
 
Back
Top Bottom