Shunie l love you

Shunie l love you

Hiyo id yako sasa sidhani kama kuna mtu atakukubali
 
Kiukweli shunie nakupenda sana kama samaki Na maji kila nionapo avatar yako naugulia moyo mithili ya sindano ya krolokwin,nipo tayari kujitambulisha kwenu Na kuleta posa ya hamsini elfu au laki,
Mimi ni mpole Ila mtukutu some time,najua kubembeleza sana,yani hata kukuogesha poa tu,pia ukichoka kupiga mswaki mm nitakupiga.
Kuhusu kwenye kitanda cha seremala shughuli naiweza vizuri tu,wewe ni kuniambia panapo washa mm nakuna,pia chumvi nachimba

ila kwako tu.
Naomba usiniangushe unipm.
Mwaaaa!!!!
Paprika I love you!
 
Naona kuanzia mvua zikoleee huku jf wengi anafunguka unampenda fulan,,hiv nyie wakat wa kiangaz mnakuaga wap?? Jaribun kununua miamvuli wakat wa jua mtaipata kwa bei rahis ili wakati wa mvua iwasitiri.....
 
Back
Top Bottom