Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Amina, nawe piaKabla hatujauanza mwaka mpya napenda tu niseme ya moyoni nyie ni miongoni mwa watu wa kipekee sana hapa Jf, mna mioyo mizuri sana,mnajali,na pia mnaujua ustaarabu na kuishi na watu vizuri.
Mwenyezi mungu awabariki,nawapenda sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee
JamaniJamani wengine tuna gundu naombeni kama nijinyongee[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]
Sent using Jamii Forums mobile app
Abeeeeeee
Ndo wapi huko mkuu
Amen
Amen my dear
Afadhali umeitika wito,wasalimie kwa sifaeliAbeeeeeee
Halafu nilikuwa nalala eti