Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Kabla hatujauanza mwaka mpya napenda tu niseme ya moyoni nyie ni miongoni mwa watu wa kipekee sana hapa Jf, mna mioyo mizuri sana,mnajali,na pia mnaujua ustaarabu na kuishi na watu vizuri.
Mwenyezi mungu awabariki,nawapenda sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyezi mungu awabariki,nawapenda sana.
Sent using Jamii Forums mobile app