Shunie na Sakayo.

Shunie na Sakayo.

Kabla hatujauanza mwaka mpya napenda tu niseme ya moyoni nyie ni miongoni mwa watu wa kipekee sana hapa Jf, mna mioyo mizuri sana,mnajali,na pia mnaujua ustaarabu na kuishi na watu vizuri.

Mwenyezi mungu awabariki,nawapenda sana.




Sent using Jamii Forums mobile app
Ameen young [emoji120][emoji120][emoji120] tunakupenda sana Mungu wetu azidi kutubariki tu na kutupa hekima na busara
 
Back
Top Bottom