Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Kivipi mkuu?Kajifunze jinsi ya Kutia ujauzito badala ya kugawa gawa tu mikononi
Soma kichwa cha habari cha MadaKivipi mkuu?
Mkuu sielewi unamaanisha niniMtuu ukiwa na ID halafu watu wakakuzoea kwayo, inakuwa ni kama real ID yako, utaiheshimu sana.
Hivyo kumlazimu mtu atumie ID nyingine kufanyia maudambwi udambwi badala ya ile ya kwanza.
NB😛ost yangu haihusiani na mawazo yako!
Mwambieni huyo aache kunitesa [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Ha haa shunii acha kumnyasanyasa mwenzio
[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]Shunie ukwapi[emoji23][emoji23][emoji23]
hivi mnajua nishaanza mpuuza uyu atakua si mzima nimeuona huu uzi mda tuHa haa shunii acha kumnyasanyasa mwenzio
Mkuu sielewi unamaanisha nini
Mama yoyo kwa nini unanipuuza tena eeeh barafu wa moyo wangu nimekukosea nini?hivi mnajua nishaanza mpuuza uyu atakua si mzima nimeuona huu uzi mda tu
ww sio mzima halaf ujue unaniharibia baby wangu akiona hivi anajua kweli ebu achana na haya mamboMama yoyo kwa nini unanipuuza tena eeeh barafu wa moyo wangu nimekukosea nini?
nilikua najibishia mwenyewe kuwa huna Mimba ila nimeaminihivi mnajua nishaanza mpuuza uyu atakua si mzima nimeuona huu uzi mda tu
Ana kiumbe changu huyo mkuunilikua najibishia mwenyewe kuwa huna Mimba ila nimeamini
Sasa ninaanza kukuelewa...pole sana ndio akili za wenginehivi mnajua nishaanza mpuuza uyu atakua si mzima nimeuona huu uzi mda tu
nimeshaongea nae sana haelewi inabdi tu nimuacheSasa ninaanza kukuelewa...pole sana ndio akili za wengine
nilikua najibishia mwenyewe kuwa huna Mimba ila nimeamini
iko kiumbe kiliingia kwa bluetoothAna kiumbe changu huyo mkuu
Shunista mupenzi una nini?iko kiumbe kiliingia kwa bluetooth