Shunie tangu nimpe ujauzito ananinyanyasa sasa, nataka nimletee mke wa pili

Shunie tangu nimpe ujauzito ananinyanyasa sasa, nataka nimletee mke wa pili

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Wakuu huyu shemeji yenu Shunista au Shunie tangu nimvimbishe tumbo amekuwa akinikasirikia sana sasa nataka nimkomeshe nimletee mke wa pili

Haya sasa madada wa JF milango ipo wazi kwa anayetaka kuposwa na mimi ajitokeze

atoto
Miss chaga

Madame B
Valentina

Joanah

Me and I

Shushushu VIP
Kasinde
Na wengineo milango ipo wazi karibuni sana
 
Mtuu ukiwa na ID halafu watu wakakuzoea kwayo, inakuwa ni kama real ID yako, utaiheshimu sana.

Hivyo kumlazimu mtu atumie ID nyingine kufanyia maudambwi udambwi badala ya ile ya kwanza.

NB.Post yangu haihusiani na mawazo yako!
 
Mtuu ukiwa na ID halafu watu wakakuzoea kwayo, inakuwa ni kama real ID yako, utaiheshimu sana.

Hivyo kumlazimu mtu atumie ID nyingine kufanyia maudambwi udambwi badala ya ile ya kwanza.

NB😛ost yangu haihusiani na mawazo yako!
Mkuu sielewi unamaanisha nini
 
Back
Top Bottom