[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa, jitahidi kula balance diet upate Wowowo[emoji2]
Ni kweli ukizuia kikohozi lazma ubanje [emoji4]Shunie unajua mapenzi ni kama kikohozi huwezi jizuia ukilazimisha kuzuia kikohozi bila shaka unaelewa inavyokuwa
Fanya mazoezi ili hicho kitambi kihamie nyuma iwe wowowo bila kupoteza 35,000/=[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki nashukuru kwa hiki kitambi, wowowo sina neno maana yanauzwa 35,000.
Kweli namtaka awe shemeji yangu, mempenda amejitahidi kutoa ya moyoniAna shida huyu bint atakuwa anamtaka kweli [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mwenye uziMtoa duku duku au mpiga debe
Sitaki kuumiza viungo vyangu aiseehFanya mazoezi ili hicho kitambi kihamie nyuma iwe wowowo bila kupoteza 35,000/=
.... ila hiyo kunipenda nyingine umechelewa nimeshawahiwa me ni mke wa mtu
Ni kweli ukizuia kikohozi lazma ubanje [emoji4]
SawaSitaki kuumiza viungo vyangu aiseeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Umenikumbusha mbali sana, enzi za secondary ilikuwa ukibanja mtu akiwa karibu yako anshtuka na kuanza kuangalia shati kama limechanika au la, maana mlio wa banja kama sauti ya baruti
NimeshaonekanaNimeona uzi unakuhusu hauonekani
Ahahhah Ney nakugawaAhahahaaaaaa
Hivi huyu mtoa dukuduku amekimbilia wapi?
Karibu sanaKama itakupendeza ukanikaribisha malangoni pako itakuwa faraja kwangu ili hayo mengine tuyabainishe huko
SawaSakayo hanaga vurugu yule, atatokea bila shaka
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ney nipo naugulia mapigo ya moyo hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahhah mnanifurahisha sanaHakika kama vile nakuona ulivyo na kiu ya mimi kumpata mjoli huyu, Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu bila shaka na yeye ataelewa hilo.
Cc: Shunie
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki nashukuru kwa hiki kitambi, wowowo sina neno maana yanauzwa 35,000.
Usinigawe tafadhali sina pa kushika ujue nitateseka mwenzio, nivumilie tuu jamaniAhahhah Ney nakugawa
Nilikuwa na tabia ya kubana banja kwa kuhofia kuchekwa, nikiibana sana inaanza kuforce itoke ninajikuta nahema huku banja inakoroma kama kuku mwenye kikohoz[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daah ilikuwa burudani sana,
Khaaaaaa hivi umetokea wapi lakini mitoKhaaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ndo tiyari kwa @PRONDO au?