Shunie: The thread is special for you.

Shunie: The thread is special for you.

Nilikuwa na tabia ya kubana banja kwa kuhofia kuchekwa, nikiibana sana inaanza kuforce itoke ninajikuta nahema huku banja inakoroma kama kuku mwenye kikohoz[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kifua huwa kinatesa sana, alafu hilo banja lilikuwa linakautaratibu sio kazuri wakati pametulia ndio linataka ukohoe oooh huo mlio wake jamani Yaan ni aibu
 
Back
Top Bottom