Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Ahahhha umenishindaUsinigawe tafadhali sina pa kushika ujue nitateseka mwenzio, nivumilie tuu jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahhha umenishindaUsinigawe tafadhali sina pa kushika ujue nitateseka mwenzio, nivumilie tuu jamani
Sawa endelea kujua yaliyomoNimeshaonekana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa na tabia ya kubana banja kwa kuhofia kuchekwa, nikiibana sana inaanza kuforce itoke ninajikuta nahema huku banja inakoroma kama kuku mwenye kikohoz[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahsante sana NeyKweli namtaka awe shemeji yangu, mempenda amejitahidi kutoa ya moyoni
Nitakaribia kwakweli, Ahsante sanaaKaribu sana
Shunie hutojutiaAhahhah mnanifurahisha sana
Karibu ShemAhsante sana Ney
Ney fanya kuongea nae kwa lugha yenu ya kiyunani please, naomba nikifika nikute unyevu unyevu wa rasha rashaaKaribu Shem
Baba D anakuona huko alikoSasa basi usiwe unapotea namna hiyo tunakosa nguvu ya kukutetea kwa mlimbwende ujue,
Embu jitahidi kumpa maneno yenye kuhamasisha kidogo tuone kama atapindua.
Wacha kuweka mikono nyuma embu simama kiume [emoji41]
Hakuna neno shemejiNey fanya kuongea nae kwa lugha yenu ya kiyunani please, naomba nikifika nikute unyevu unyevu wa rasha rashaa
Ohooo mydear wifi habari za masiku tele jamaniBaba D anakuona huko aliko
Cc:Shunie
Safi tu habari ya kutekwa?Kk hajambo?Ohooo mydear wifi habari za masiku tele jamani
Abeeee
WoyoooooMkuu asante sana kwa kunikubali ubarikiwe mno [emoji120][emoji7] na kuwa shabiki wangu mana kila ninachocomment unakifatilia unipe na mahela basi jaman sio unanikubali na kunipenda bure bure ahaha
Wewe naye siku hizi sijui hata umepatwa na nini. [emoji23]Abeeee
Huu ubusy unaninyima uhondo aki
Umefika lol[emoji120][emoji120][emoji120]Abeeee
Huu ubusy unaninyima uhondo aki
KhaaaSakayo apambane na T wake tu hakuna namna
Nipo hapa bwana ShemejiSakayo hanaga vurugu yule, atatokea bila shaka
Yaani acha tu ShemWewe naye siku hizi sijui hata umepatwa na nini. [emoji23]