Shunie: The thread is special for you.

Shunie: The thread is special for you.

Mi Shunie nimfahamuye ni binti halisi mlimbwende wa Kibantu, mkweli, mcha Mungu, mwenye vipaji lukuki (vikiwemo uandishi), asiye na majivuno, msomi na mwenye busara sana. Ingekuwa inaruhusiwa ningeleta ushahidi wa haya niyasemayo lakini nimalizie tu kwa kusema kuwa Shunie ni mmojawapo wa mabinti ninaowaheshimu sana hapa JF....
Naunga hoja mkono.

Kipindi sijazoeana naye humu, tuliwahi kukwazana kwenye uzi fulani. Baada ya kuwa nimemsoma na kugundua alichonacho kichwani nikamkubali pia nikamkumbusha sehemu tuliowahi kukwazana, akakumbuka na akakiri, tukacheka tukafurahi na tukasameheana.

Shunie ni mdau wangu sana humu jamvini!!
 
Hongera sana kwa kuwa mdau wake!
 
Naunga hoja mkono.

Kipindi sijazoeana naye humu, tuliwahi kukwazana kwenye uzi fulani. Baada ya kuwa nimemsoma na kugundua alichonacho kichwani nikamkubali pia nikamkumbusha sehemu tuliowahi kukwazana, akakumbuka na akakiri, tukacheka tukafurahi na tukasameheana.

Shunie ni mdau wangu sana humu jamvini!!
Ukimkosea anakuambia ukweli tu, mnayaongea yanaisha na urafiki unarudi pale pale. Mimi alishawahi kunipa ushauri wa maana sana mpaka nikashangaa. Namheshimu sana !!!
 
Nnadhani sio wewe tu watu wengi tunamwelewa sana hapa JF anayoyafanya
 
Back
Top Bottom